Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 14 - قٓ - Page - Juz 26
﴿وَأَصۡحَٰبُ ٱلۡأَيۡكَةِ وَقَوۡمُ تُبَّعٖۚ كُلّٞ كَذَّبَ ٱلرُّسُلَ فَحَقَّ وَعِيدِ ﴾
[قٓ: 14]
﴿وأصحاب الأيكة وقوم تبع كل كذب الرسل فحق وعيد﴾ [قٓ: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na watu waliokuwa kwenye tuka la miti nao ni watu wa Shu'ayb, na watu wa Tubba' wa Himyar. Watu wote hao waliwakanusha Mitume wao, ikapasa juu yao adhabu ambayo Mwenyezi Mungu Aliwaonya nayo kwa ukafiri wao |