Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 15 - قٓ - Page - Juz 26
﴿أَفَعَيِينَا بِٱلۡخَلۡقِ ٱلۡأَوَّلِۚ بَلۡ هُمۡ فِي لَبۡسٖ مِّنۡ خَلۡقٖ جَدِيدٖ ﴾
[قٓ: 15]
﴿أفعيينا بالخلق الأول بل هم في لبس من خلق جديد﴾ [قٓ: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwani tulishindwa kuanzisha uumbaji wa kwanza tuliyouanzisha na hakukuwa na kitu chochote, mpaka tushindwe kuwarudisha wao wakiwa viumbe wapya baada ya kutoweka kwao? Hilo halitushindi. Bali sisi ni waweza wa hilo, lakini wao wako kwenye mshangao na shaka juu ya jambo la kufufuliwa na kukusanywa |