Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 41 - قٓ - Page - Juz 26
﴿وَٱسۡتَمِعۡ يَوۡمَ يُنَادِ ٱلۡمُنَادِ مِن مَّكَانٖ قَرِيبٖ ﴾
[قٓ: 41]
﴿واستمع يوم يناد المناد من مكان قريب﴾ [قٓ: 41]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na usikilize, ewe Mtume, siku Malaika atakapoita kwa kupuliza kwenye Baragumu kutoka sehemu iliyo karibu |