Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 42 - قٓ - Page - Juz 26
﴿يَوۡمَ يَسۡمَعُونَ ٱلصَّيۡحَةَ بِٱلۡحَقِّۚ ذَٰلِكَ يَوۡمُ ٱلۡخُرُوجِ ﴾
[قٓ: 42]
﴿يوم يسمعون الصيحة بالحق ذلك يوم الخروج﴾ [قٓ: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Siku watakapousikia ukulele wa Ufufuzi wa ukweli usio na shaka, hiyo ndiyo Siku ya waliyo makaburini kutoka makaburini mwao |