Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 37 - الذَّاريَات - Page - Juz 27
﴿وَتَرَكۡنَا فِيهَآ ءَايَةٗ لِّلَّذِينَ يَخَافُونَ ٱلۡعَذَابَ ٱلۡأَلِيمَ ﴾
[الذَّاريَات: 37]
﴿وتركنا فيها آية للذين يخافون العذاب الأليم﴾ [الذَّاريَات: 37]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukaacha kwenye mji huo uiliotajwa athari iliyosalia ya adhabu iwe ni alama ya uweza wa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka na vile alivyowatesa makafiri. Ili hilo liwe ni zingatio kwa wale wanaoiogopa adhabu ya Mwenyezi Mungu iliyo kali na yenye kuumiza |