Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 55 - الذَّاريَات - Page - Juz 27
﴿وَذَكِّرۡ فَإِنَّ ٱلذِّكۡرَىٰ تَنفَعُ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ ﴾
[الذَّاريَات: 55]
﴿وذكر فإن الذكرى تنفع المؤمنين﴾ [الذَّاريَات: 55]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Pamoja na kuwapuuza wao, ewe Mtume, na kutoshughulika na ufidhuli wao, endelea kuwaidhia wale uliotumilizwa kwao, kwani kukumbusha na kuwaidhia watanufaika nako wale wenye nyoyo zenye kuamini, na katika kufanya mawili hayo kuna kusimamisha hoja kwa wenye kupa mgongo |