Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 56 - الذَّاريَات - Page - Juz 27
﴿وَمَا خَلَقۡتُ ٱلۡجِنَّ وَٱلۡإِنسَ إِلَّا لِيَعۡبُدُونِ ﴾
[الذَّاريَات: 56]
﴿وما خلقت الجن والإنس إلا ليعبدون﴾ [الذَّاريَات: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na sikuumba majini na binadamu na kutumiliza Mitume wote isipokuwa kwa lengo tukufu, nalo niabudiwe mimi Peke Yangu, na sio asiyekuwa mimi |