Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 54 - الذَّاريَات - Page - Juz 27
﴿فَتَوَلَّ عَنۡهُمۡ فَمَآ أَنتَ بِمَلُومٖ ﴾
[الذَّاريَات: 54]
﴿فتول عنهم فما أنت بملوم﴾ [الذَّاريَات: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wapuuze hao washirikina, ewe Mtume, mpaka itakapokujia wewe amri ya Mwenyezi Mungu kuhusu wao, hapatakuwa na yoyote mwenye kukulaumu, kwani ushafikisha yale uliyotumilizwa kwayo |