Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 60 - الذَّاريَات - Page - Juz 27
﴿فَوَيۡلٞ لِّلَّذِينَ كَفَرُواْ مِن يَوۡمِهِمُ ٱلَّذِي يُوعَدُونَ ﴾
[الذَّاريَات: 60]
﴿فويل للذين كفروا من يومهم الذي يوعدون﴾ [الذَّاريَات: 60]
Abdullah Muhammad Abu Bakr maangamivu na usumbufu ni wa wale waliomkanusha Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, kutokana na Siku yao wanayoahidiwa kuteremkiwa na adhabu, nayo ni Siku ya Kiyama |