Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 28 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿إِنَّا كُنَّا مِن قَبۡلُ نَدۡعُوهُۖ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلۡبَرُّ ٱلرَّحِيمُ ﴾
[الطُّور: 28]
﴿إنا كنا من قبل ندعوه إنه هو البر الرحيم﴾ [الطُّور: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Akatukubalia maombi yetu, na Akatupa tulichokiomba. Hakika Yeye Ndiye Mwingi wa kheri, Mwenye kurehemu. Na miongoni mwa wingi wa kheri Zake na rehema Zake kwetu ni kule kutupa radhi zake na Pepo, na kutuepusha na hasira Zake na Moto.» |