Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 29 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿فَذَكِّرۡ فَمَآ أَنتَ بِنِعۡمَتِ رَبِّكَ بِكَاهِنٖ وَلَا مَجۡنُونٍ ﴾
[الطُّور: 29]
﴿فذكر فما أنت بنعمة ربك بكاهن ولا مجنون﴾ [الطُّور: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi wawaidhie, ewe Mtume, wale uliotumilizwa kwao kwa Qur’ani, kwani hukuwa wewe, kwa neema ya Mwenyezi Mungu Aliokuneemesha kwayo ya unabii na busara ya akili, ni kuhani anayetoa habari za ghaibu bila ujuzi wala mwendawazimu asiyejua analolisema, kama wanavyodai |