Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 27 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿فَمَنَّ ٱللَّهُ عَلَيۡنَا وَوَقَىٰنَا عَذَابَ ٱلسَّمُومِ ﴾
[الطُّور: 27]
﴿فمن الله علينا ووقانا عذاب السموم﴾ [الطُّور: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Akatuneemesha kwa uongofu na taufiki na Akatuokoa na adhabu ya vuke la Jahanamu, nalo ni moto wake na joto lake. Sisi tulikuwa, hapo kabla, tukimnyenyekea Yeye Peke Yake, hatumshirikishi na Yeye yoyote asiyekuwa Yeye, Atulinde na adhabu ya vuke la Motoni na Atupeleke kwenye starehe ya Peponi |