Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 32 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿أَمۡ تَأۡمُرُهُمۡ أَحۡلَٰمُهُم بِهَٰذَآۚ أَمۡ هُمۡ قَوۡمٞ طَاغُونَ ﴾
[الطُّور: 32]
﴿أم تأمرهم أحلامهم بهذا أم هم قوم طاغون﴾ [الطُّور: 32]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au zinawaamuru akili zao, hao wakanushaji, ziseme neno hili linalogongana (kuwa sifa ya ukuhani, utungaji mashairi, na wendawazimu haiwezekani kukutana wakati mmoja)? Bali wao ni watu waliruka mipaka katika uasi |