Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 33 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿أَمۡ يَقُولُونَ تَقَوَّلَهُۥۚ بَل لَّا يُؤۡمِنُونَ ﴾
[الطُّور: 33]
﴿أم يقولون تقوله بل لا يؤمنون﴾ [الطُّور: 33]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au wanasema hawa washirikina, «Muhammad Ameibuni Qur’ani yeye mwenyewe?» bali wao hawaamini. Na lau wangaliamini, hawangalilisema walilolisema |