Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 18 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿لَقَدۡ رَأَىٰ مِنۡ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلۡكُبۡرَىٰٓ ﴾
[النَّجم: 18]
﴿لقد رأى من آيات ربه الكبرى﴾ [النَّجم: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, aliona, usiku wa Mi'rāj (kwenda mbinguni) alama kubwa zinazojulisha uweza wa Mwenyezi Mungu na ukubwa Wake miongoni mwa Pepo, Moto na vinginevyo |