Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 17 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿مَا زَاغَ ٱلۡبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ﴾
[النَّجم: 17]
﴿ما زاغ البصر وما طغى﴾ [النَّجم: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, alikuwa na sifa kubwa ya uthabiti na utiifu, hayakupotoka macho yake kuliani wala kushotoni, wala hakupitisha zaidi ya kile alichoamrishwa kukiona |