×

Je! Anayo huyo ilimu ya ghaibu, basi ndio anaona 53:35 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Najm ⮕ (53:35) ayat 35 in Swahili

53:35 Surah An-Najm ayat 35 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 35 - النَّجم - Page - Juz 27

﴿أَعِندَهُۥ عِلۡمُ ٱلۡغَيۡبِ فَهُوَ يَرَىٰٓ ﴾
[النَّجم: 35]

Je! Anayo huyo ilimu ya ghaibu, basi ndio anaona

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أعنده علم الغيب فهو يرى, باللغة السواحيلية

﴿أعنده علم الغيب فهو يرى﴾ [النَّجم: 35]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Je huyu anayekata kheri yake ya kutoa ana ujuzi wa ghaibu kuwa yeye atamalizikiwa na mali yaliyoko mkononi mwake ndipo akaizuia kheri yake asiitoe, na akawa aliona hilo waziwazi? Mambo si hivyo! Hakika ni kwamba yeye aliacha kutoa sadaka na kufanya kheri, kutenda wema na kuunga kizazi kwa ubahili na uchoyo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek