Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 42 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلۡمُنتَهَىٰ ﴾
[النَّجم: 42]
﴿وأن إلى ربك المنتهى﴾ [النَّجم: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwamba kwa Mola wako, ewe Mtume, ndipo watakapokomea viumbe Vyake vyote Siku ya Kiyama |