Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 18 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿كَذَّبَتۡ عَادٞ فَكَيۡفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ﴾
[القَمَر: 18]
﴿كذبت عاد فكيف كان عذابي ونذر﴾ [القَمَر: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watu wa kabila la 'Ād walimkanusha Hūd tukawatesa, basi ilikuwa vipi vile nilivyowaadhibu wao kwa ukafiri wao na vile nilivyowaonya wao kwa kumkanusha Mtume wao na kutomuamini? Ilikuwa kubwa yenye uchungu |