Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 28 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَنَبِّئۡهُمۡ أَنَّ ٱلۡمَآءَ قِسۡمَةُۢ بَيۡنَهُمۡۖ كُلُّ شِرۡبٖ مُّحۡتَضَرٞ ﴾
[القَمَر: 28]
﴿ونبئهم أن الماء قسمة بينهم كل شرب محتضر﴾ [القَمَر: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na uwape habari kwamba maji yamegawanywa baina ya watu wako na ngamia: ngamia ana siku yake na nyinyi mna siku yenu, kila siku ya kunywa atakuja yule ambaye ni siku yake aliyogawanyiwa, na atakatazwa yule ambaye si siku yake aliyogawanyiwa |