Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 27 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿إِنَّا مُرۡسِلُواْ ٱلنَّاقَةِ فِتۡنَةٗ لَّهُمۡ فَٱرۡتَقِبۡهُمۡ وَٱصۡطَبِرۡ ﴾
[القَمَر: 27]
﴿إنا مرسلوا الناقة فتنة لهم فارتقبهم واصطبر﴾ [القَمَر: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sisi tutamtoa ngamia waliomtaka kutoka kwenye jiwe, huo ukiwa ni mtihani kwao. Basi ingojee, ewe Ṣāliḥ, adhabu itakaowashukia, na usubiri katika kuwalingania na juu ya makero wanayokufanyia |