Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 46 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿بَلِ ٱلسَّاعَةُ مَوۡعِدُهُمۡ وَٱلسَّاعَةُ أَدۡهَىٰ وَأَمَرُّ ﴾
[القَمَر: 46]
﴿بل الساعة موعدهم والساعة أدهى وأمر﴾ [القَمَر: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wakati wa Kiyama ambao ndio agizo la wao kulipwa wanachostahiki, na Wakati wa Kiyama ni mkubwa na mgumu zaidi kuliko adhabu iliyowafika siku ya Badr |