Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 47 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿إِنَّ ٱلۡمُجۡرِمِينَ فِي ضَلَٰلٖ وَسُعُرٖ ﴾
[القَمَر: 47]
﴿إن المجرمين في ضلال وسعر﴾ [القَمَر: 47]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika wahalifu wa ukafiri wako katika hali ya kuduwaa kutoijua haki na wako kwenye usumbufu na adhabu |