Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 45 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿سَيُهۡزَمُ ٱلۡجَمۡعُ وَيُوَلُّونَ ٱلدُّبُرَ ﴾
[القَمَر: 45]
﴿سيهزم الجمع ويولون الدبر﴾ [القَمَر: 45]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Utashindwa mkusanyiko wa makafiri wa Makkah mbele ya Waislamu na watakimbia. Na hili lilitokea siku ya vita vya Badr |