Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 49 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿إِنَّا كُلَّ شَيۡءٍ خَلَقۡنَٰهُ بِقَدَرٖ ﴾
[القَمَر: 49]
﴿إنا كل شيء خلقناه بقدر﴾ [القَمَر: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika sisi kila kitu tumekiumba kwa kipimo tulichokikadiri na kukipitisha, na ilitangulia elimu yetu ya kukijua kitu hiko na kukiandika kwenye Ubao Uliohifadhiwa |