Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 50 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَمَآ أَمۡرُنَآ إِلَّا وَٰحِدَةٞ كَلَمۡحِۭ بِٱلۡبَصَرِ ﴾
[القَمَر: 50]
﴿وما أمرنا إلا واحدة كلمح بالبصر﴾ [القَمَر: 50]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na haikuwa amri yetu ya kuamuru jambo tukitaka liwe isipokuwa ni kuliambia neno moja nalo ni «kuwa» nalo likawa palepale kama vile kupeleka jicho kuangalia kitu, haichelewi hata kiasi cha jicho kupepesa |