Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 20 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿بَيۡنَهُمَا بَرۡزَخٞ لَّا يَبۡغِيَانِ ﴾
[الرَّحمٰن: 20]
﴿بينهما برزخ لا يبغيان﴾ [الرَّحمٰن: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr mojawapo haiingii sehemu ya nyingine na kuiondoa sifa yake, bali ya tamu inasalia kuwa tamu na ya chumvi inasalia kuwa chumvi pamoja na kukutana kwake |