Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 10 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿وَٱلسَّٰبِقُونَ ٱلسَّٰبِقُونَ ﴾
[الوَاقِعة: 10]
﴿والسابقون السابقون﴾ [الوَاقِعة: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wale waliotangulia mbele kwenye kheri duniani ndio wenye kutangulia mbele kwenye daraja za juu huko Akhera |