×

Yeye ndiye anaye mteremshia mja wake Aya zinazo bainisha wazi ili akutoeni 57:9 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hadid ⮕ (57:9) ayat 9 in Swahili

57:9 Surah Al-hadid ayat 9 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hadid ayat 9 - الحدِيد - Page - Juz 27

﴿هُوَ ٱلَّذِي يُنَزِّلُ عَلَىٰ عَبۡدِهِۦٓ ءَايَٰتِۭ بَيِّنَٰتٖ لِّيُخۡرِجَكُم مِّنَ ٱلظُّلُمَٰتِ إِلَى ٱلنُّورِۚ وَإِنَّ ٱللَّهَ بِكُمۡ لَرَءُوفٞ رَّحِيمٞ ﴾
[الحدِيد: 9]

Yeye ndiye anaye mteremshia mja wake Aya zinazo bainisha wazi ili akutoeni gizani muingie kwenye nuru. Na hakika Mwenyezi Mungu kwenu ni Mpole, Mwenye kurehemu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: هو الذي ينـزل على عبده آيات بينات ليخرجكم من الظلمات إلى النور, باللغة السواحيلية

﴿هو الذي ينـزل على عبده آيات بينات ليخرجكم من الظلمات إلى النور﴾ [الحدِيد: 9]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Yeye Ndiye Anayemteremshia mja Wake Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, aya za Qur’ani zilizopambanuliwa zilizo wazi, ili Awatoe nyinyi kwa hizo kwenye giza la ukafiri na kuwatia kwenye mwangaza wa Imani. Na hakika Mwenyezi Mungu, kwa kule kuwatoa nyinyi kwenye giza na kuwatia kwenye mwangaza, Anawarehemu rehema kunjufu katika maisha yenu ya sasa ya ulimwenguni na maisha yenu ya baadaye, na awalipe malipo mazuri kabisa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek