Quran with Swahili translation - Surah Al-hadid ayat 8 - الحدِيد - Page - Juz 27
﴿وَمَا لَكُمۡ لَا تُؤۡمِنُونَ بِٱللَّهِ وَٱلرَّسُولُ يَدۡعُوكُمۡ لِتُؤۡمِنُواْ بِرَبِّكُمۡ وَقَدۡ أَخَذَ مِيثَٰقَكُمۡ إِن كُنتُم مُّؤۡمِنِينَ ﴾
[الحدِيد: 8]
﴿وما لكم لا تؤمنون بالله والرسول يدعوكم لتؤمنوا بربكم وقد أخذ ميثاقكم﴾ [الحدِيد: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mna udhuru gani ya nyinyi kutokaubali upweke wa Mwenyezi Mungu na kutofuata sheria Zake kivitendo na hali Mtume anawalingania juu ya hilo na Mwenyezi Mungu Ashachukua ahadi zenu juu ya hilo, iwapo nyinyi ni wenye kumuamini Mwenyezi Mungu Muumba wenu |