Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 132 - الأنعَام - Page - Juz 8
﴿وَلِكُلّٖ دَرَجَٰتٞ مِّمَّا عَمِلُواْۚ وَمَا رَبُّكَ بِغَٰفِلٍ عَمَّا يَعۡمَلُونَ ﴾
[الأنعَام: 132]
﴿ولكل درجات مما عملوا وما ربك بغافل عما يعملون﴾ [الأنعَام: 132]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kila mwenye kufanya vitendo vya kumtii Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, vya kumuasi ana daraja kutokana na vitendo vyake, Mwenyezi Mungu Atamfikishia viwango hivyo na Atamlipa kwavyo. Na Mola wako, ewe Mtume, Hakuwa ni Mwenye kughafilika na wanayoyafanya waja Wake |