Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 149 - الأنعَام - Page - Juz 8
﴿قُلۡ فَلِلَّهِ ٱلۡحُجَّةُ ٱلۡبَٰلِغَةُۖ فَلَوۡ شَآءَ لَهَدَىٰكُمۡ أَجۡمَعِينَ ﴾
[الأنعَام: 149]
﴿قل فلله الحجة البالغة فلو شاء لهداكم أجمعين﴾ [الأنعَام: 149]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, ewe Mtume, kuwaambia wao, «Mwenyezi Mungu, Alietukuka na kuwa juu, Ndiye Mwenye hoja ya mkato, yenye kuzikata dhana zenu. Na lau Alitaka Angaliwaongoza nyote kwenye muelekeo wa sawa.» |