×

Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa 6:162 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:162) ayat 162 in Swahili

6:162 Surah Al-An‘am ayat 162 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 162 - الأنعَام - Page - Juz 8

﴿قُلۡ إِنَّ صَلَاتِي وَنُسُكِي وَمَحۡيَايَ وَمَمَاتِي لِلَّهِ رَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[الأنعَام: 162]

Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قل إن صلاتي ونسكي ومحياي ومماتي لله رب العالمين, باللغة السواحيلية

﴿قل إن صلاتي ونسكي ومحياي ومماتي لله رب العالمين﴾ [الأنعَام: 162]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sema, ewe Mtume, kuwaambia hawa washirikina, «Hakika Swala yangu na nusuk yangu, yaani kuchinja kwangu ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Peke Yake; si kwa ajili ya masanamu wala wafu wala majini wala wasiokuwa hao kati ya wale, wasiokuwa Mwenyezi Mungu, mnaowachinja na kutaja majina yasiyokua jina Lake, kama mnavyofanya.. Pia uhai wangu na kufa kwangu ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola wa viumbe wote
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek