Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 163 - الأنعَام - Page - Juz 8
﴿لَا شَرِيكَ لَهُۥۖ وَبِذَٰلِكَ أُمِرۡتُ وَأَنَا۠ أَوَّلُ ٱلۡمُسۡلِمِينَ ﴾
[الأنعَام: 163]
﴿لا شريك له وبذلك أمرت وأنا أول المسلمين﴾ [الأنعَام: 163]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Asiye na mshirika katika uungu Wake wala katika uola Wake wala katika majina Yake na sifa Zake. Kumpwekesha huko Mwenyezi Mungu kulikosafishika ndiko Alikoniamrisha mimi Mola wangu, Aliyetukuka na kuwa juu. Na mimi ni wa kwanza kumfuata Mwenyezi Mungu kikamilifu katika umma huu.» |