×

Naye ndiye Mwenye nguvu juu ya waja wake, na ndiye Mwenye hikima 6:18 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:18) ayat 18 in Swahili

6:18 Surah Al-An‘am ayat 18 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 18 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿وَهُوَ ٱلۡقَاهِرُ فَوۡقَ عِبَادِهِۦۚ وَهُوَ ٱلۡحَكِيمُ ٱلۡخَبِيرُ ﴾
[الأنعَام: 18]

Naye ndiye Mwenye nguvu juu ya waja wake, na ndiye Mwenye hikima na Mwenye khabari zote

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وهو القاهر فوق عباده وهو الحكيم الخبير, باللغة السواحيلية

﴿وهو القاهر فوق عباده وهو الحكيم الخبير﴾ [الأنعَام: 18]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kila sifa ya upungufu, Ndiye Mwenye kutendesha nguvu, Aliye juu ya waja Wake. Shingo zimemdhalilikia na majabari wamenyongeka Kwake. Yeye Ndiye Mwenye hekima Anayeweka vitu mahali pake kulingana na hekima Yake. Ndiye Mtambuzi Ambaye hakuna kitu chenye kufichika Kwake. Na mwenye kusifika na sifa hizi inapasa asishirikishwe. Katika aya hii pana kuthibitisha sifa ya ujuu kwa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, kuwa Yuko juu ya ya viumbe vyake vyote; ujuu wa aina zote unaonasibiana na utukufu Wake, kutakasika na kila sifa ya upungufu ni Kwake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek