Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 55 - الأنعَام - Page - Juz 7
﴿وَكَذَٰلِكَ نُفَصِّلُ ٱلۡأٓيَٰتِ وَلِتَسۡتَبِينَ سَبِيلُ ٱلۡمُجۡرِمِينَ ﴾
[الأنعَام: 55]
﴿وكذلك نفصل الآيات ولتستبين سبيل المجرمين﴾ [الأنعَام: 55]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mfano wa ufafanuzi huu tuliokufafanulia, tunakufafanulia, ewe Mtume, hoja zilizo wazi kwa kila mtu, ili ifunuke njia ya watu wa haki wanayoikanusha watu wa batili, na ifunuke njia ya watu wa batili wenye kuwaendea kinyume Mitume |