Quran with Swahili translation - Surah Al-Jumu‘ah ayat 1 - الجُمعَة - Page - Juz 28
﴿يُسَبِّحُ لِلَّهِ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِ ٱلۡمَلِكِ ٱلۡقُدُّوسِ ٱلۡعَزِيزِ ٱلۡحَكِيمِ ﴾
[الجُمعَة: 1]
﴿يسبح لله ما في السموات وما في الأرض الملك القدوس العزيز الحكيم﴾ [الجُمعَة: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Vinamtakasa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka vyote vilivyo mbinguni na vyote vilivyo Ardhini, na Yeye Peke Yake Ndiye mfalme wa kila kitu, Aliye Mshindi kwenye utawala Wake bila ya mpinzani, Mwingi wa hekima katika kuyapelekesha mambo Yake na utengenezaji Wake |