Quran with Swahili translation - Surah Al-Jumu‘ah ayat 7 - الجُمعَة - Page - Juz 28
﴿وَلَا يَتَمَنَّوۡنَهُۥٓ أَبَدَۢا بِمَا قَدَّمَتۡ أَيۡدِيهِمۡۚ وَٱللَّهُ عَلِيمُۢ بِٱلظَّٰلِمِينَ ﴾
[الجُمعَة: 7]
﴿ولا يتمنونه أبدا بما قدمت أيديهم والله عليم بالظالمين﴾ [الجُمعَة: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wala hawa Mayahudi hawatatamani kifo kabisa kwa vile wanavyoyapenda maisha ya duniani kuliko Akhera na kwa kuogopa kuteswa na Mwenyezi Mungu kwa sababu ya yale waliyoyatanguliza ya ukafiri na matendo maovu. Na Mwenyezi Mungu Anawajua mno madhalimu, hakifichamani Kwake chochote cha udhalimu wao |