Quran with Swahili translation - Surah At-Taghabun ayat 15 - التغَابُن - Page - Juz 28
﴿إِنَّمَآ أَمۡوَٰلُكُمۡ وَأَوۡلَٰدُكُمۡ فِتۡنَةٞۚ وَٱللَّهُ عِندَهُۥٓ أَجۡرٌ عَظِيمٞ ﴾
[التغَابُن: 15]
﴿إنما أموالكم وأولادكم فتنة والله عنده أجر عظيم﴾ [التغَابُن: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hayakuwa mali yenu na watoto wenu isipokuwa ni majaribio na mtihani kwenu. Na Mwenyezi Mungu, Kwake Yeye kuna thawabu kubwa kwa aliyechagua kumtii Yeye kuliko kumtii asiyekuwa Yeye na akatekeleza haki ya Mwenyezi Mungu katika mali yake |