Quran with Swahili translation - Surah At-Taghabun ayat 18 - التغَابُن - Page - Juz 28
﴿عَٰلِمُ ٱلۡغَيۡبِ وَٱلشَّهَٰدَةِ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡحَكِيمُ ﴾
[التغَابُن: 18]
﴿عالم الغيب والشهادة العزيز الحكيم﴾ [التغَابُن: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Yeye, kutakasika na kila upungufu ni Kwake, ni Mjuzi wa kila lililofichika lisionekane na lile lililojitokeza likaonekana, ni Mshindi Asiye na mshindani, ni Mwingi wa hekima katika maneno Yake na matendo Yake |