Quran with Swahili translation - Surah At-Taghabun ayat 8 - التغَابُن - Page - Juz 28
﴿فَـَٔامِنُواْ بِٱللَّهِ وَرَسُولِهِۦ وَٱلنُّورِ ٱلَّذِيٓ أَنزَلۡنَاۚ وَٱللَّهُ بِمَا تَعۡمَلُونَ خَبِيرٞ ﴾
[التغَابُن: 8]
﴿فآمنوا بالله ورسوله والنور الذي أنـزلنا والله بما تعملون خبير﴾ [التغَابُن: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi mwaminini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, enyi washirikina, na mjiongoze kwa Qur’ani Aliyomteremshia Mtume Wake. Na Mwenyezi Mungu kwa mnayoyafanya ni Mtambuzi, hakuna kinachofichamana na Yeye cha matendo yenu na maneno yenu, na Yeye ni Mwenye kuwalipa kwa hayo Siku ya Kiyama |