Quran with Swahili translation - Surah Al-Mulk ayat 16 - المُلك - Page - Juz 29
﴿ءَأَمِنتُم مَّن فِي ٱلسَّمَآءِ أَن يَخۡسِفَ بِكُمُ ٱلۡأَرۡضَ فَإِذَا هِيَ تَمُورُ ﴾
[المُلك: 16]
﴿أأمنتم من في السماء أن يخسف بكم الأرض فإذا هي تمور﴾ [المُلك: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je mmesalimika, enyi makafiri wa Makkah, na Mwenyezi Mungu Aliye mbinguni kuwa Hatawadidimiza ardhini ikawa inatetemeka na nyinyi mpaka mkaangamia |