Quran with Swahili translation - Surah Al-Mulk ayat 6 - المُلك - Page - Juz 29
﴿وَلِلَّذِينَ كَفَرُواْ بِرَبِّهِمۡ عَذَابُ جَهَنَّمَۖ وَبِئۡسَ ٱلۡمَصِيرُ ﴾
[المُلك: 6]
﴿وللذين كفروا بربهم عذاب جهنم وبئس المصير﴾ [المُلك: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wenye kumkanusha Mola wao watapata adhabu ya moto wa Jahanamu, na ubaya zaidi wa mahali pa mtu kurejea ni ni huo moto wa Jahanamu |