Quran with Swahili translation - Surah Al-Mulk ayat 7 - المُلك - Page - Juz 29
﴿إِذَآ أُلۡقُواْ فِيهَا سَمِعُواْ لَهَا شَهِيقٗا وَهِيَ تَفُورُ ﴾
[المُلك: 7]
﴿إذا ألقوا فيها سمعوا لها شهيقا وهي تفور﴾ [المُلك: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Waingizwapo hao wakanushaji ndani ya moto wa Jahanamu, watausikia ukitoa sauti kali yenye kutisha , huku ukichemka machemko makali sana |