Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 27 - القَلَم - Page - Juz 29
﴿بَلۡ نَحۡنُ مَحۡرُومُونَ ﴾
[القَلَم: 27]
﴿بل نحن محرومون﴾ [القَلَم: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Bali sisi tumekoseshwa mazao yake kwa sababu ya nia yetu ya uchoyo na kuwanyima masikini.» |