Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 26 - القَلَم - Page - Juz 29
﴿فَلَمَّا رَأَوۡهَا قَالُوٓاْ إِنَّا لَضَآلُّونَ ﴾
[القَلَم: 26]
﴿فلما رأوها قالوا إنا لضالون﴾ [القَلَم: 26]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Walipolishuhudia shamba lao limechomeka walilikataa na wakasema, ‘Kwa hakika tumepotea njia ya kulifikia!» na walipojua kuwa hilo ndilo shamba lao walisema |