Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 30 - القَلَم - Page - Juz 29
﴿فَأَقۡبَلَ بَعۡضُهُمۡ عَلَىٰ بَعۡضٖ يَتَلَٰوَمُونَ ﴾
[القَلَم: 30]
﴿فأقبل بعضهم على بعض يتلاومون﴾ [القَلَم: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakazungukiana wao kwa wao wakilaumiana kwa kuacha kuyafunga maneno yao na matakwa ya Mwenyezi Mungu na kwa lengo lao baya |