×

Asaa Mola wetu Mlezi akatubadilishia lilio bora kuliko hili. Hakika sisi ni 68:32 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Qalam ⮕ (68:32) ayat 32 in Swahili

68:32 Surah Al-Qalam ayat 32 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 32 - القَلَم - Page - Juz 29

﴿عَسَىٰ رَبُّنَآ أَن يُبۡدِلَنَا خَيۡرٗا مِّنۡهَآ إِنَّآ إِلَىٰ رَبِّنَا رَٰغِبُونَ ﴾
[القَلَم: 32]

Asaa Mola wetu Mlezi akatubadilishia lilio bora kuliko hili. Hakika sisi ni wenye kurejea kwa Mola wetu Mlezi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: عسى ربنا أن يبدلنا خيرا منها إنا إلى ربنا راغبون, باللغة السواحيلية

﴿عسى ربنا أن يبدلنا خيرا منها إنا إلى ربنا راغبون﴾ [القَلَم: 32]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Tunatarajia kwa Mola wetu kuwa Atatupa kilicho bora zaidi kuliko shamba letu, kwa kuwa tumetubia na tumekubali makosa yetu. Sisi tuna matumaini mema kwa Mola wetu, tunatarajia msamaha na tunaomba kheri. Mfano wa mateso hayo tuliyowatesa nayo wenye shamba ndivyo yanavyokuwa mateso yetu duniani kwa kila anayeenda kinyume na amri ya Mwenyezi Mungu na akazifanyia uchoyo neema za Mwenyezi Mungu Alizompa kwa kutotekeleza haki ya Mwenyezi Mungu katika neema hizo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek