Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 4 - القَلَم - Page - Juz 29
﴿وَإِنَّكَ لَعَلَىٰ خُلُقٍ عَظِيمٖ ﴾
[القَلَم: 4]
﴿وإنك لعلى خلق عظيم﴾ [القَلَم: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hakika wewe, ewe Mtume, uko juu ya tabia kubwa, nazo ni zile tabia njema zilizomo kwenye Qur’ani. Kwani kule kuifuata Qur’ani kulikuwa ni sifa yake, akitekeleza amri zake na kukomeka na yale yanayokatazwa nayo |