Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 40 - القَلَم - Page - Juz 29
﴿سَلۡهُمۡ أَيُّهُم بِذَٰلِكَ زَعِيمٌ ﴾
[القَلَم: 40]
﴿سلهم أيهم بذلك زعيم﴾ [القَلَم: 40]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Waulize washirikina, ewe Mtume, «Ni yupi katika wao anayeichukulia hukumu hiyo dhamana na ahadi kwamba atayapata hayo?» |